pmbet

Mbappe; Nimefeli Euro tukutane msimu ujapo Madrid

Sisti Herman

July 10, 2024
Share :

Baada ya kichapo cha 2-0 kutoka timu ya Taifa ya Hispania na kuondolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe la Mataifa Ulaya (EURO 2024) Nahodha na mshambuliaji kinara wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema msimu huu wa mashindano hayo umekuwa mbaya kwake na anajiandaa kusahau haraka, kupumzika na kurejea vyema uwanjani kwaajili ya msimu ujao akiwa na klabu ya Real Madrid.

"Kwenye soka kuna kuwa vizuri na kuwa vibaya, kwangu imekuwa ni EURO mbaya, nimefeli, nitaenda likizo nipumzike vizuri niwe tayari kwaajili ya msimu ujao kwenye mazingira mapya, na kazi kubwa ya kufanya" alisema Mbappe.

Mbappe aliyasema hayo mara baada ya mchezo wa jana.

Mbapp

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet