Mbowe akutana na Balozi wa Uingereza
Sisti Herman
January 19, 2024
Share :
Baada ya jana kukutana na Balozi wa Marekani Michael Battle, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo amekutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar, kujadili hali ya kisiasa nchini huku CHADEMA ikiwa kwenye maandalizi ya maandamano ya Januari 24, 2024.