pmbet

Mbowe aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji kanda ya kaskazini

Sisti Herman

March 17, 2024
Share :

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Freeman Mbowe leo Jumamosi Machi 16, 2024 ameongoza kikao cha Kamati ya Utendaji ya Kanda ya Kaskazini kilichofanyika katika hotel ya Kibo Palace Jijini Arusha.

Kikao hicho kimejadili maandalizi ya utekelazaji wa Azimio la Mtwara pamoja na Operesheni 255 ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet