Mbunge aliyetaka 'Boom' lifutwe, awaomba radhi wanavyuo
Eric Buyanza
May 9, 2024
Share :
"Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada halafu tukawalipia matumizi (Boom) kwa hizo asilimia zilizopo," - Mwita Getere, Mbunge wa Bunda vijijini