pmbet

Mbunge ataka picha ya Rais Samia iwekwe kwenye pesa

Eric Buyanza

February 8, 2024
Share :

Akiongea Bungeni leo Mbunge wa Viti Maalumu Kundi la Vijana, Ng'wasi Kamani, amesema ni vyema sasa tukawa na sura ya Rais Samia kwenye pesa ya Tanzania.
 

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kwamba kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia Suluhi Hassan kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," alimalizia kusema Mh. Ng'wasi Kamani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet