Mbwa maarufu afariki dunia
Sisti Herman
May 26, 2024
Share :
Mbwa maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii aitwaye "Kabosu" amefariki akiwa na miaka 18.
Mbwa huyo amefariki nchini Japan na mmiliki wa mbwa huyo alifanya hafla ya kuagwa kwa maua iliyohudhuriwa na watu wengi huko Narita Japan.