pmbet

Mchekeshaji Fred Omondi afariki kwenye ajali ya Bodaboda

Eric Buyanza

June 15, 2024
Share :

Mchekeshaji wa nchini Kenya, Fred Omondi amefariki dunia kwenye ajali ya barabarani baada ya bodaboda iliyokuwa imembeba ikimrudisha nyumbani kugongana uso kwa uso na basi lililokuwa kwenye mwendo kasi usiku wa kuamkia leo jijini Nairobi.

Fred Omondi, ambaye ni mdogo wa mchekeshaji maarufu Eric Omondi, alipata umarufu wakati alipokuwa akichekesha kwenye kipindi maarufu cha ‘Churchill Show.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet