pmbet

Mchezaji anayeshiriki Olympic 2024 akiwa Mjamzito wa miezi 7

Sisti Herman

July 30, 2024
Share :

Mchezaji wa kimataifa wa Misri anayeshiriki michuano ya Olympic 2024 inayoendelea nchini Ufaransa kupitia mchezo wa kitara (fence) Nada Hafez, ameweka wazi kuwa ana mimba ya miezi saba huku akiendelea na michuano.

“Olimpiki hii ni ya tofauti; Mara tatu kushiriki lakini wakati huu nikiwa na mwana Olimpiki mdogo!” alitoa siri hiyo kupitia ukurasa wake instagram wa @nada_hafez

"Kinachoonekana kwako ni kama wachezaji wawili kwenye jukwaa, tulikuwa watatu! mimi, mpinzani wangu, na mtoto wangu ambaye atakuja duniani!”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet