pmbet

Mchezaji Quevin Castro aanguka uwanjani na kufariki dunia

Sisti Herman

August 23, 2026
Share :

 

Jana, katika dakika 10 za awali za mechi ya kirafiki kati ya Real SC na Estrela Amadora, kiungo mwenye umri wa miaka 25, Quevin Castro, alianguka ghafla uwanjani na kupoteza fahamu.

Licha ya jitihada kubwa za kuokoa maisha yake na kukimbizwa hospitalini, Castro alithibitishwa kufariki dunia muda mfupi baada ya kulazwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet