pmbet

Mchezaji wa Tanzania aliyebadili uraia acheza mechi yake ya kwanza Uganda

Sisti Herman

April 13, 2026
Share :

 

Mchezaji Happiness Gervas Daffa aliyebadilisha uraia kutoka Kuwa Mtanzania hadi Kuwa Raia wa Uganda amecheza mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya Uganda

Mchezaji huyo aliyeitwa kwenye kikosi Cha Uganda U17 na kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Zimbabwe U17 hii Leo

Nafasi ya kumrudisha kwenye kikosi Cha Timu ya Tanzania Bado ipo kama wataona uhitaji wake ndani ya Taifa

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet