Mchezaji wa Tanzania asajiliwa ligi kuu Uganda
Sisti Herman
February 24, 2026
Share :

Nyota wa Tanzania, Husna Mpanja amejiunga na klabu ya She Corporates inayoshiriki ligi kuu wanawake nchini Uganda πΊπ¬.
Husna anajiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Rayon Sports Women FC ya nchini Rwanda ambapo alihudumu hapo kwa msimu mmoja.





