pmbet

Mchezaji wa Tanzania asajiliwa ligi ya Uganda

Sisti Herman

February 24, 2026
Share :

 

Nyota wa Tanzania, Husna Mpanja amejiunga na klabu ya She Corporates inayoshiriki ligi kuu wanawake nchini Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬.

Husna anajiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Rayon Sports Women FC ya nchini Rwanda ambapo alihudumu hapo kwa msimu mmoja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet