pmbet

Mchezaji wa zamani wa Chelsea afariki dunia

Sisti Herman

February 13, 2025
Share :

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya vijana ya Chelsea na klabu ya Torquay United, Tony Bedeau amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 45 baada ya kuugua.

Kufuatia kifo cha staa huyo, klabu yake ya zamani Torquay United imetoa taarifa ya kusimamisha kwa dakika kadhaa muda wa kuanza mchezo wao ujao dhidi ya Hornchurch jumamosi hii.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet