Mchezo wa derby kupigwa saa moja usiku uwanja wa Uhuru.
Joyce Shedrack
October 6, 2026
Share :
Mchezo wa Kariakoo Derby kati ya @simbasctanzania na @yangasc utachezwa Oktoba 10 saa 1 Usiku.

Klabu ya Simba ambaye ni mwenyeji wa mchezo huo imethibitisha rasmi kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.





