pmbet

Mchezo wa Yanga vs Azam kupigwa Visiwani Zanzibar.

Joyce Shedrack

June 15, 2026
Share :

Klabu ya Yanga imethibitisha rasmi kuwa mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Azam rasmi sasa utapigwa kwenye dimba la New Amaan Complex visiwani Zanzibar tarehe 24 June majira ya saa 10:00 jioni.

 

Azam FC 0-0 Yanga SC NBC Premier League

Yanga imewapeleka Azam New Amaan Complex kuamua Bingwa wa Ligi kuu ya NBC, Mechi itapigwa saa kumi jioni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet