Mchumba afunguka Ronaldo kustaafu
Sisti Herman
March 4, 2024
Share :
Mpenzi wa nahodha wa Al Nassr na timu ya Taifa Ureno Georgina Rodriguez amefunguka kuhusiana na suala la kustaafu kwa mshambulaji huyo aliyemaliza mwaka 2024 kwa mabao mengi duniani mwenye umri wa miaka 39.
"Cristiano, ana mwaka mwingine zaidi mbele, baada ya hapo itakuwa mwisho labda, ila sijui" alisema Gio akimjibu mwanahabari mmoja wakati wa tamasha la mitindo ya mavazi Paris wikiendi iliyopita.