pmbet

Mdomo wamponza nyota West Ham

Sisti Herman

February 23, 2024
Share :

Mshambuliaji was West Ham Michail Antonio amewaombaradhi Liverpool kwa kauli yake aliyoitoa mwanzoni mwa msimu akisema msimu huu West Ham itamaliza ligi ikiwa juu ya Liverpool.

 

“Mwanzoni mwa msimu nilitoa kauli kwamba msimu huu tutamaliza msimu juu ya Liverpool yale yalikuwa mawazo yangu binafsi lakini nitumie fursa hii kuwaomba radhi wachezaji na mashabiki wa Liverpool kwa kauli ile”.

 

Kazi kwenu mashabiki wa Liverpool kuhusu kuipokea radhi ya Antonio lakini kwenye msimamo nukta muhimu ni kwamba West Ham ipo chini ya Manchester United.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet