Mechi 3 ikiwemo ya Simba, kuamua hatma ya kibarua cha Adil Ramzi
Eric Buyanza
December 6, 2023
Share :
MECHI 3 IKIWEMO YA SIMBA, KUAMUA HATMA YA KIBARUA ADIL RAMZI
Kocha wa klabu ya Wydad Athletic, Adil Ramzi amepewa mechi 3 za kutetea kibarua chake ambapo ameambiwa asipofanya vizuri Katika Michezo hiyo basi kibarua chake kitaota nyasi.
Michezo hiyo ni dhidi ya :
▪Botola pro:
MC Oujda -Dec 6 (Leo)
▪Champions league :
-Vs Simba Sc Dec 9
-Vs Simba Sc Dec 19