pmbet

"Mechi nyingi za EPL sio za kufurahisha kuzitazama"-Arne Slot.

Joyce Shedrack

March 2, 2026
Share :

Kocha Mkuu wa Liverpool Arne Slot amefunguka kutokuridhishwa na soka la sasa la ligi kuu ya Uingereza huku akiweka wazi kuwa mechi nyingi hazivutii.

Arne Slot appears to go full Oliver Twist with subtle request for MORE  signings despite £426m Liverpool transfer splurge

“Mechi nyingi za Ligi Kuu ya Uingereza SIO za kufurahisha kutazama hazinivutii. Inabidi ukubali hilo.” 

 

“Nikiangalia ligi nyingine, sioni msisitizo mkubwa kiasi hicho kwenye mipira ya adhabu (set-pieces).”

 

“Nikiangalia mechi ya Eredivisie, naona magoli yakikataliwa, makosa dhidi ya makipa yakipigwa, na nafikiria ‘wow, hiyo ni tofauti kubwa lakini hapa, unaweza kumgonga kipa na mwamuzi akasema endelea kucheza.”

 

“Moyo wangu wa soka haupendi hilo. Ukiniuliza, huwa nawaza kuhusu timu ya Barcelona ya miaka 10 hadi 15 iliyopita kila Jumapili jioni ulikuwa unatamani waingie uwanjani kucheza,” amesema Arne Slot.

 

 

 

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet