Mechi ya Simba na Mtibwa yaahirishwa kisa CAF CL
Sisti Herman
February 16, 2024
Share :
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB) imeahirisha mchezo namba 125 kati ya klabu ya Mtibwa dhidi ya Simba uliopangwa ufanyike February 18 siku ya jumapili kwenye dimbaa la jamhuri morogoro ili kuipa simba nafasi ya kujiandaa kuelekea nchini Ivory Coast kwenye wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaopigwa tarehe February 23 siku ya ijumaa.