pmbet

Meli yagonga daraja na kutumbukiza magari mtoni

Eric Buyanza

February 22, 2024
Share :

Huko Guangzhou nchini China, meli ya mizigo imegonga daraja mapema leo na kutumbukiza magari matano likiwemo basi la umma ndani ya mto.
 

Ajali hiyo imeua watu wawili na kujeruhi mmoja. Watatu bado hawajapatikana, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
 

Picha kwenye kituo cha utangazaji cha CCTV zinaonyesha sehemu ya daraja ikiwa imevunjika, huku meli ikiwa imenasa chini yake. Meli hiyo haikuonekana ikiwa na mizigo.
 

Nahodha wa meli hiyo amekamatwa.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet