Memo Ochoa kustaafu soka baada ya Kombe la Dunia 2026.
Joyce Shedrack
May 1, 2026
Share :
Golikipa wa Mexico, Guillermo "Memo" Ochoa, ametangaza hivi karibuni kuwa atastaafu kuitumikia timu ya taifa ya Mexico baada ya fainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026.

Ochoa, ambaye atakuwa na umri wa miaka 41 wakati wa michuano hiyo. Kwa kushiriki michuano ya 2026,ataweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kushiriki Kombe la Dunia mara sita, akiungana na magwiji kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
🏆🌍 2006
🏆🌍 2010
🏆🌍 2014
🏆🌍 2018
🏆🌍 2022
🏆🌍 2026





