pmbet

Meneja: Zimbwe hadai Yanga, msipotoshwe

Sisti Herman

May 17, 2026
Share :

 

Baada ya mchezaji mwandamizi wa klabu ya Yanga, Mohammed Hussein Zimbwe kutoonekana uwanjani kwa wiki kadhaa sasa huku uvumi mtandaoni ukiibuka kuwa pengine ana mgogoro wa maslahi na timu hiyo, wakala wake Carlos Sylvester ameibuka na kusafisha hali ya hewa akibainisha kuwa mchezaji huyo yupo nje kwasababu ya majeraha na siyo kama inavyoripotiwa.

Kupitia Instagram yake Carlos ambaye ni Mkurungenzi wa Carl Pro Sports Agency ameandika hivi;
______

Napokea simu nyingi na sms Concerning Hii kitu

Mohammed Alipata majeraha kwenye mechi ya Ligi dhidi ya Mbeya City pale KMC Complex na club ilitoa hii statement, anaendelea na matibabu vizuri hajawa 100% Fit.

Mohammed Haidai club, Yanga paid 100% of His Signing-on Fees and all the agreed renumerarion.

He’s very Happy with the new Environment.

Thank you.
_____
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet