pmbet

Messi afikisha mchango wa magoli 100 MLS

Sisti Herman

May 9, 2026
Share :

 

Baada ya jana kufunga goli 1 na kupika mengine mawili kwenye ushindi wa 4-2 wa Inter Miami dhidi ya Toronto, Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mchango wa magoli 100 kwenye ligi kuu ya soka Marekani (MLS) akiwa na mechi chache zaidi.

🏟️ 64 MLS games.
👟 41 assists.
⚽️ 59 goals.

👑 907 career goals.
🧞‍♂️ 410 career assists.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet