pmbet

Messi afunguka kuhusu kustaafu

Sisti Herman

March 28, 2024
Share :

Akiwa kwenye mahojiano ya ana kwa ana ya mtandaoni na "Big Time Podcast" nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Inter Miami Lionel Messi amesema kuwa wakati wake wa kustaafu utaamuliwa na uwezo wake wa kucheza, akiona ameanza kuishiwa uwezo atafanya hivyo.

"Ninajua kwamba wakati ninapohisi kwamba sifanyi tena, kwamba sifurahii tena au kusaidia wachezaji wenzangu (nitastaafu). Ninapohisi ni wakati wa kuchukua hatua hiyo, nitafanya bila kufikiria umri" alisema Messi.

Unadhani zama za Messi na Ronaldo zimefika mwisho?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet