pmbet

Messi atangazwa kuwa mmiliki mpya wa US Cornella

Sisti Herman

April 17, 2026
Share :

 

Leo Messi ametangazwa na kutambulishwa rasmi kuwa mmiliki mpya wa timu ya @uecornella.

Klabu hiyo ya Catalonia inakuwa ya Messi mmoja ya miradi mikubwa ya muda mrefu ya uwekezaji Messi kwenye soka la Hispania.

Klabu yenye utamaduni wa kujivunia na akademia yenye nguvu, ambapo wachezaji kama vile Jordi Alba, David Raya, Gerard Martín na Keita Baldé, miongoni mwa wengine, walianza safari yao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet