pmbet

Messi na Suarez waaibika mbele ya Ronaldo

Sisti Herman

February 2, 2024
Share :

Timu ya Inter Miami ya ligi kuu Marekani anayocheza Lionel Messi jana ilichakazwa kipigo cha mbwa mwizi cha 6-0 kutoka kwa timu ya Al Nassr ya ligi kuu Saudi Arabia ambayo anacheza Cristiano Ronaldo kwenye mchezo ulioandaliwa na kampeni ya Riyadh Season ambayo hudhaminiwa na serikali ya Saudia kuandaa matukio makubwa ya michezo kama sehemu ya kitangaza utalii nchini humo majira ya baridi kuanzia mwezi Oktoba hadi Machi.

 

Katika mchezo huo msimu Ronaldo hakucheza kwasababu ya majeraha aliyopata siku chache zilizopita huku Messi akiingia dakika ya 83, jambo ambalo lilitafsiriwa kupunguza ladha ya mchezo huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet