pmbet

Messi na Suarez waiokoa Inter Miami na aibu

Sisti Herman

March 8, 2024
Share :

Waliokuwa washambuliaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi na rafiki yake Luis Suarez leo alfajiri wameiokoa klabu yao mpya ya Inter Miami kuepuka kipigo kutoka kwa Nashville baada ya wote wawili kufunga mabao mawili ambayo yalisawazisha ubao wa matokeo kuwa 2-2 kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka ya Marekani (MLS).

Nashville walitangulia kwa mabao mawili hadi kumalizika kwa kipindi cha kwanza kabla ya Inter Miami kuja kusawazisha yote kupitia kwa Messi na Suarez kipindi cha pili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet