Metacha 'Out' Yanga, Khomein atajwa Kumrithi
Sisti Herman
June 19, 2024
Share :
Klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa mlinda mlango wa klabu ya Ihefu Aboubakar Khomeiny ambaye anajiunga na Yanga kama mbadala wa Metacha Mnata ambaye ameachwa Jangwani.
Metacha na Khomeiny waliwahi kucheza pamoja Singida Fountain Gate msimu uliopita kabla ya Metacha kutimkia Yanga na mwenzake kwendA Ihefu.