Mexime atimuliwa Kagera
Sisti Herman
December 22, 2023
Share :
Uongozi wa klabu ya Kagera Sugar umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wao mkuu Mecky Maxime na kocha wa viungo Francis Mkanula kuendelea kufundisha timu hiyo.
Kikosi kitaendelea kuwa chini ya kocha Marwa Chamberi kama kocha wa muda.