pmbet

Mfungaji bora wa muda wote aanguka na kufariki uwanjani Panama

Sisti Herman

January 30, 2024
Share :

Mfungaji bora wa timu ya Taifa ya taifa Panama Luis ‘Matador’ Tejada, aliyeisaidia timu hiyo kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza mwaka 2018, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kuanguka uwanjani ghafla wakati wa mchezo wa ligi, Shirikisho la Soka la Panama (FEPAFUT) limethibitisha.

Mshambuliaji huyo mwenye mabao 43 akiwa na jezi ya Taifa hilo ndiyo mfungaji bora wa muda wote wa Panama.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet