pmbet

"Mgeni rasmi atakuwa Inonga" - Ahmed Ally

Sisti Herman

February 26, 2024
Share :

Hizi ni nukuu za Meneja wa idara ya habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally kwenye mkutano wana wanahabari kwaajili ya kuzindua wiki ya hamasa kwaajili ya mchezo wa raundi ya mwisho ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng' Galaxy utakaochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa siku wikiendi ijayo.

 

“Mgeni rasmi katika mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni Henock Inonga sababu ndio mchezaji pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ameifikisha timu yake ya taifa kwenye nafasi ya nne kwenye AFCON 2023.”- Ahmed Ally. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet