Mgosi kocha bora wa mwezi wa 12 ligi kuu wanawake
Sisti Herman
February 9, 2026
Share :
Kocha mkuu wa timu ya wanawake ya Simba, Mussa Hassan 'Mgosi' amechaguliwa na kamati za tuzo za TFF kuwa kocha bora wa mwezi disemba 2025 wa ligi kuu Tanzania.
Hadi sasa Simba Queens ndiyo timu pekee ambayo bado haijapoteza mchezo huku ikiwa juu kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na alama 31, juu ya Yanga Princess wenye alama 30.






