pmbet

Mgunda kuanza na Yanga kesho

Eric Buyanza

December 8, 2023
Share :

Tangu kukabidhiwa mikoba ya kuinoa timu ya wanawake ya Simba "Simba Queens" kocha Juma Mgunda ambaye ameanza majukumu yake rasmi na huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa kimashindano kesho dhidi ya Yanga Princess.
 

Simba Queens na Yanga Princess watacheza kesho jioni kwenye mchezo wa nusu fainali ya ngao ya jamii wanawake utakaofanyika uwanja wa Azam Complex Mbagala jijini Dar es Salaam.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet