Miaka 24 ya Drake kwenye game si mchezo.
Joyce Shedrack
January 9, 2025
Share :
Rapa maarufu wa Kanada Aubrey Drake Graham maarufu Drake anakamata namba 2 kwenye Chat za Billboard kwa Wasanii Maarufu wa Karne ya 21, kulingana na utendaji wa @billboardcharts kuanzia mwanzo wa 2000 hadi mwisho wa 2024.
Akipewa heshima hiyo kutokana na mafanikio yake mwaka wa 2009, Rapa Drake alisumbua sana akiwa na nambari 14 kwenye albamu za Billboard na chati za nyimbo za Hot 100 katika miaka 24 ya kwanza ya karne.