Miamba ya Uturuki inakaribia kuinasa saini ya Bissaka
Eric Buyanza
June 22, 2024
Share :
Taarifa kutoka Uturuki zinasema klabu ya Galatasaray inakaribia kuinasa saini ya beki wa kulia wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka.
Taarifa hizo zimeendelea kusema kwamba beki huyo wa timu ya taifa ya England mwenye umri wa miaka 26, atapewa mkataba wa miaka minne.