pmbet

Mido wa Man City ajiunga na timu ya Saudi Arabia

Sisti Herman

August 19, 2026
Share :

 

Kiungo wa timu ya taifa ya Uholanzi na klabu ya Manchster City Tijjani Reijnders amekamilisha uhamisho wa kudumu wa pauni milioni 52 (euro milioni 61) kutoka Manchester City kwenda klabu ya Al Qadsiah ya Ligi ya Pro ya Saudi Arabia.

 

Kiungo huyo fundi amesaini mkataba hadi mwaka 2031 chini ya kocha Brendan Rodgers.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet