pmbet

Mido ya Sauzi yahitajika Uingereza na Ufaransa

Sisti Herman

February 13, 2024
Share :

Wakala wa kiungo wa kati wa timu ya Taifa ya Afrika kusini na klabu ya Mamelod Sundowns Teboho Mokoena (27) anayefahamika kwa jina la Glyn Binkin amekiri mchezaji wao kuzivutia klabu za AS Monaco ya ligi kuu Ufaransa na Bournemouth ya ligi kuu Uingereza huku akisisitiza kuwa kwa sasa mchezaji huyo bado anamkataba na Mamelodi hadi 2026 hivyo Timu inayomtaka ni lazima ipitie Mamelodi kujadili biashara.

“Ni kweli tumepokea ofa lakini kwa sasa bado ana mkataba na Mamelodi hadi June 2026 klabu inayomtaka haina budi kuzungumza na Mamelodi” alisema wakala huyo.

Taarifa hizi ni baada ya Teboho kufanya vizuri kwenye AFCON iliyomalizika Juzi Jumapili huku Afrika kusini ikimaliza mshindi wa 3 baada ya kuwafunga Congo DR.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet