pmbet

Miili 9 ya wau imeokotwa karibu na kituo cha Polisi.

Joyce Shedrack

July 13, 2024
Share :

Taharuki imeibuka Nchini Kenya baada ya miili 9 ya watu kuokotwa ikiwa kwenye mifuko ya sandarusi kwenye bonde lililopo karibu na kituo cha Polisi Kware jijini Nairobi.

Taarifa zinasema kuwa baadhi ya miili hiyo ni ya watu waliopotea kipindi cha maandamano yaliyofanyika maeneo mbalimbali Nchini humo wiki mbili zilizopita.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwa eneo la tukio wamesema sehemu kubwa ya miili hiyo imebainika kuwa ni ya wanawake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet