pmbet

Mimi ndiye muigizaji mkubwa zaidi Afrika - Zubby Michael

Eric Buyanza

March 2, 2024
Share :

Zubby Michael, muigizaji nguli kunako kiwanda cha filamu za Nigeria (Nollywood), amejigamba kuwa yeye ni muigizaji mkubwa zaidi barani Afrika.
 

Katika video aliyoichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Zubby Michael alijitapa hivyo mbele ya muigizaji mwenzake Timini Egbuson ambaye nae alikuwa akionekana kwenye video hiyo na kusema anaweza hata kumnunua Timini.
 

"Nimekuwa nikiigiza kwa takriban miaka 13 sasa na nimeshinda tuzo. Nimefanya kila kitu...kimsingi ninaamini mimi ndiye bora zaidi." alisema Zubby.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet