pmbet

"Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Simba" - Bi Star

Eric Buyanza

May 28, 2025
Share :

Muigizaji mkongwe Shamila Ndwangila maarufu kama Bi Star ambaye kwasasa anafanya vyema kwenye Tamthilia ya Kombolela inayorushwa na Azam Tv, amesema yeye ni shabiki mkubwa wa klabu ya Simba. 

Akiongea kutokea nyumbani kwake Mtoni kwa Aziz Ally, Shamila alisema:

"Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Simba. Mume wangu na watoto wangu wawili ni mashabiki wa Yanga, lakini mimi naipenda sana Simba"

MWANASPOTI

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet