pmbet

Mimi ni shabiki wa Simba, ni Mnyama – Mkojani

Eric Buyanza

July 10, 2024
Share :

"Mimi ni shabiki wa Simba, ni Mnyama bana, na kwa Sasa timu yetu imesajili na wengi tuko pamoja na tumefurahi, tuombe timu ifanye vizuri na wachezaji wawe wazuri haswa, maana sasa hivi wote tunasifia ligi ikianza wakija kuvurunda tunaanza kutoleana maneno ya hovyo, niwaombe tu wana Simba wenzangu tuwe pamoja wakati wa raha na shida naamini tuliyotaka yamefanyika kwa asilimia 80 kila la kheri timu yetu”

"Kingine cha kuomba Mungu mwalimu aendane na timu lakini pia wachezaji waendane na timu, unaweza kufanya yote kama muunganiko utakuwa bado hakika Subra inahitajika," amesema Mkojani.
NMG 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet