Mimi ni shabiki wa Simba nisiyekata tamaa - Feruzi
Eric Buyanza
May 6, 2024
Share :
Mkongwe kunako muziki wa Bongofleva, Feruzi anasema anapenda kuishangilia Simba kwa kuwa iko ndani ya damu yake.
“Mimi ni shabiki wa Simba nisiyekata tamaa na nimeshawahi kwenda uwanjani mara kadhaa na katika timu huwa nawakubali sana wachezaji wanaofanya vizuri na kuipa ushindi timu yetu. Ila kuna huyu Kibu Dennis, Mohamend Hussein na Mzamiru huwa wananikosha sana,”.