pmbet

"Mimi sio Mtalii" - Rais William Ruto

Eric Buyanza

December 11, 2023
Share :

Wakati baadhi ya wakenya wakimkosoa Rais William Ruto kwa safari zake za nje ya nchi zisizoisha, Jumapili hii aliibukia huko eneo la Kiambu na kujibu shutuma hizo.
 

Kwa mujibu wa mtandao wa Tuko, Rais Ruto amesema safari zake za nje hazitaisha hivi karibuni, na kuongeza kuwa safari hizo zinalenga kuifanya Kenya kuwa mahali pazuri zaidi pa kuishi.
 

“Mmesikia mimi nasafiri dunia nafanya kwa mipango, Mimi si Mtalii," anasisitiza. 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet