pmbet

Mjue mama aliyejiwekea nadhiri ya kuongea lisaa 1 tu kwa siku, kwa miaka 32

Eric Buyanza

January 25, 2024
Share :

Bibi wa miaka 85 mwezi huu anatarajiwa kumaliza kiapo alichojiwekea cha miaka 30 ya ukimya ambacho kilimruhusu kuzungumza kwa muda wa saa moja tu kwa siku.
 

Saraswati Devi, anayejulikana sana kwa jina la 'Mauni Mata', alianza 'maun vrat' (kiapo cha ukimya) mwaka wa 1992.
 

Alijitolea maisha yake kwa Lord Ram (mungu wa wahindu) baada ya kifo cha mumewe mnamo 1986 na ametumia muda wake mwingi kwenye hija.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet