pmbet

Mjue PACU, samaki mwenye meno kama ya binadamu

Eric Buyanza

May 23, 2024
Share :

#JeWajua Pacu ni samaki wa maji baridi anayekula karibu kila kitu...lakini chakula chake pendwa ni majani ya kwenye maji.
 

Kinachowashangaza wengi kuhusu samaki huyu ni meno yake, kwasababu ana meno yanayofanana na ya binadamu.
 

Ana uwezo wa kukua mpaka kufikia Mita 1.08 na akafikisha hadi Kg 40.
 

Pia ana uwezo wa kuishi mpaka miaka 25.
 

Huwa anapatikana zaidi Amerika ya Kusini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet