Mjue Pata Seca mtumwa aliyezaa watoto zaidi ya 200
Eric Buyanza
December 19, 2025
Share :
Huyu ni Roque Jose Florencio A.K.A Pata Seca. Alizaliwa Angola na kupelekwa Brazil kuwa mtumwa. Alikuwa mrefu sana (mita 2, 18cm au 7ft 2), mwenye nguvu na mtiifu.
Wamiliki wake walimfanya azalishe wanawake wengi weusi waliokuwa watumwa kwa sababu waliamini watoto wake wangekuwa warefu, wakubwa na watiifu kama yeye.
Pata Seca alikufa mwaka 1958 akiwa na miaka 130 baada ya kuzaa zaidi ya watoto 200.






