pmbet

Mjue Sara Sabry, mwanamke wa kwanza mwafrika kufika angani

Eric Buyanza

July 3, 2024
Share :

Mwaka 2022 Sara Sabry alikuwa mwanaanga mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kufika kunako anga za juu (Space). 

Mhandisi huyo wa Kimisri mwenye umri wa miaka 31 na mwanaanga aliyefunzwa vizuri alichaguliwa kutoka kwenye maelfu ya waliotuma maombi Space for Humanity ili kushiriki katika safari ya angani kwa kutumia roketi ya (New Shepard) iliyojengwa na kampuni ya Blue Origin ya Bilionea Jeff Bezos.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet