pmbet

Mke wa Amorim alalamika mme wake kunyanyaswa na mashabiki

Sisti Herman

November 26, 2025
Share :

 

šŸ—£ļøMke wa Ruben Amorim, Maria JoĆ£o: ā€œRuben amekuwa akikosa usingizi tangu alipokuja Uingereza.

 

"Sio rahisi kamwe. Watu wanapaswa kuelewa kwamba, tumekatishwa tamaa na unyanyasaji anaopata. Nilimuuliza, Je, yote haya yanafaa, akasema ndivyo alivyojisajiliā€ šŸ˜”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet