Mkenya wa kwanza kucheza NBA wanawake
Sisti Herman
April 14, 2026
Share :

Mpira wa vikapu nchini Kenya umefikia hatua mpya ya kimataifa kufuatia kusajiliwa kwa kinara Madina Okot kwenye Ligi ya Mpira wa Vikapu ya wanawake Marekani (WNBA), kuashiria mafanikio makubwa kwa uwakilishi wa Afrika Mashariki katika mpira wa vikapu kwa ushindani wa wanawake.
Mchezaji amejiunga na timu ya Atlanta Dreams akitokea South Carolina





